abstraction

n 1 usahaulifu; hali ya kushughulika na kuacha kuzingatia mengine. 2 utoaji/ung'oaji wa kitu k .m. ung'oaji jino. 3 dhana au wazo.