abstract

abstract

1 adj 1 dhahania, -a kuwazika tu. 2 -soweza kushikika. ~ noun nomino dhahania. in the ~ kinadharia.

abstract

2 vt 1 toa katika, chomoa. ~ed adj (engrossed) 1 -liotekwa kimawazo. 2 -lio fupishwa (k.m. kitabu au hotuba). abstractedly adv