absolute

adj 1 kamili ~ trust imani kamili. 2 (despotic) -enye amri zote peke yake, -a kidikteta. 3 (infinite) huru, isiyo na masharti wala mipaka. 4 halisi, bila shaka ~ proof ushahidi thabiti. absolutely adv. absolutism n udikteta; nadharia ya siasa ya mtu mmoja kuhodhi madaraka yote.