abroad

adv 1 ughaibuni, ng'ambo, ugenini be or travel ~ kuwa/safiri ng'ambo. 2 kila mahali there is a rumour ~ that uvumi umeenea kwamba. 3 nje ya nyumba you are ~ early this morning umetoka nje mapema sana asubuhi hii.