2prep 1 juu ya we flew ~ theclouds tuliruka juu ya mawingu. 2 zidi wastani the temperature
has been ~ average halijoto imezidi wastani. 3 zaidi ya, kuliko to value humanity ~
wealth kuthamini utu zaidi kuliko mali. ~ all zaidi ya yote. over and ~ zaidi ya hayo. 4 safi, sio kifani, zuri mno she is ~ criticism hana doa.