aboriginal

adj (of living creatures) -a asili, -a kwanza, -a awali. aborigine n mwananchi wa asili. A ~s wananchi wa asili ya Australia.