ablaze

adj,adv 1 -a kuwaka the house is~ nyumba inawaka moto. 2 -a kung'aa; -a kumeremeta (fig) the face of the bride was ~with happiness uso wa bibi harusi ulimeremeta kwa furaha.