ability

n 1 uwezo (kimwili, kiakili) to the best of my ~ kwa kadri ya uwezo wangu a man of great ~ mtu mwenye uwezo mkubwa. 2 werevu.3 kipaji a boy of abilities mvulana mwenye vipaji vingi. able adj -enye uwezo, hodari (kimwili, kiakili) to be able to do something kuweza kumudu/kufanya jambo drinkable -a kunyweka. ably adv kwa ustadi, kwa akili.