abet

vt saidia, shawishi, shirikiana na (kutenda maovu). aid and ~ saidia kutenda jinai. abetment n msaada, ushirika, mshawasha. ~ter, ~tor n mshiriki; mshawishi (hasa kwa mabaya), mbuya; msaidizi jinai.