aberrant

adj -potovu, -liokengeuka; -enye kasoro. aberration n mkengeuko, kupotoka (kwa njia, tabia au akili); kasoro.