abbreviate

vt fupisha (hadithi, hotuba, neno n.k.); punguza, kusuru. abbreviation n ufupisho, kifupi, kifupisho, ufupishaji, k.m. mt. badala ya methali, TZ badala ya Tanzania.