abase

vt tusha, fedhehesha, dhalilisha, vunjia heshima/hadhi, shushia hadhi ~oneself jitahayarisha, jifedhehesha, jiaibisha. abasement n utwezo, unyonge, udhalili, udhilifu. 2 unyenyekeo, unyenyekevu (kupita kiasi).