abandon
vt 1 (desert) tupa; toka katika gea;
telekeza; jitenga na ~ wife and children; acha, tupa, telekeza mke na watoto. 2 (give
up) acha ~ rights/a property acha haki/mali. 3 (phr) ~
hope kata tamaa. 4 (phr) ~ oneself to something jiachia kabisa k.m.
huzuni, furaha, dhambi, tamaa n hali ya kutojizuia, kujisahau, kujiachia they
danced with ~ walicheza wakaji-jisahau. abandoned adj 1 (deserted)
-lioachwa, -liotupwa, -liotelekezwa, -kiwa an ed village kijiji kilichotelekezwa,
mahame, tongo. 2 (profligate) -ovu, -potovu, fisadi, -asherati. abandonment n
1 tendo/hali ya kutupa/kutupwa, kuacha kuachwa; tendo/hali ya ufisadi. 2 (carelessness) ulegevu, uzembe. 3 (complete surrender) see abandon.