technicolor

n (photography) ufundi rangi; njia ya kutengeneza filamu za rangi katika senema. technique n mbinu: jinsi ya kufanya kazi.