saturn

n 1 Zohali. 2 (myth) Mungu wa kale wa kilimo wa Kirumi. ~ alia n (pl) 1 Satanalia: siku kuu ya Zohali, siku ya kufurahi/kucheza (na kufanya mengineyo yote). 2 wakati wa vurugu.