s,s

n 1 herufi ya kumi na tisa katika alfabeti ya Kiingereza. 2 (pl) (suffix) ishara ya wingi k.m. boy-boys. 3 (tense suffix) nafsi ya tatu katika umoja/ishara ya hali ya mazoea k.m. she plays anacheza. 4 (possessive suffix) ishara ya kumiliki k.m. children's room chumba cha watoto. 5 (colloq - short form of) is, he's here yuko hapa she's gone ameondoka let's go twende.