roman

adj 1 -a Kirumi. ~ alphabet n alfabeti ya Kirumi. ~ letters/type n hati za Kirumi. ~ numbers n namba za Kirumi. 2 -a Kikatoliki. R~ rite n ibada ya Kikatoliki. ~ Catholic n Mkatoliki n 1 Mrumi. 2 Mkatoliki. Romanize vt,vi fanya kuwa Urumi; tia tarakimu za Kirumi, fanya kuwa Katoliki; ongoa Kikatoliki.