quaker

n 1 mwanachama wa Jamii ya Marafiki; kundi la Wakristo ambalo halipendelei mikutano rasmi na halipendelei ghasia au vita. 2 kitu kitetemekacho/mtu atetemekaye.