pluto

n 1 (Roman myth) Mungu wa kuzimuni. 2 (astr) Pluto. Plutocracy n utawala wa tabaka la matajiri wenye nguvu za kimadaraka/mamlaka. Plutocrat n mtu ambaye ana mamlaka kutokana na utajiri wake. Plutocratic adj utawala wa kitajiri.