pisces

n (Zodiac) Samaki. piscary n 1 haki ya kuvua samaki (katika bwawa la mtu mwingine). 2 mahali pa kuvua samaki. piscatorial; piscatory adj -a wavuvi; -a kuvua samaki; shabiki sana wa kuvua samaki. pisciculture n uzalishaji samaki (kwa kupandisha). pisciculturist n. piscina n. bwawa la samaki. piscine adj -a samaki.