moor

Moor

n chotara wa Kiberiberi na Kiarabu. Moorish adj.

moor

1 n mbuga, nyika. ~-fowl/game n kwale mwekundu. moor-cock n kwale dume. ~ hen n kwale jike. ~ land n mbuga.

moor

2 vt funga chombo ufukoni; tia nanga. ~ing mast n mlingoti wa kufungia chombo. moorings n (pl) 1 kebo, amari, minyororo. 2 maezi.