mahatma

n (India) jina apewalo mtu mwenye heshima kuu (kutokana na mapenzi na utu wake).