latin

n Kilatini; watu wenye asili ya Kilatini adj -a Kilatini. ~ America n Amerika ya Kusini. the ~ Church n Kanisa Katoliki. the ~ Quarter n (of Paris) Sehemu ya ukingo wa kusini wa Mto Seine (wanakoishi wanafunzi na wasanii kwa karne nyingi). Latinist n msomi wa Kilatini. Latinize vt fanya -a Kilatini. ~ phrases n nahau za Kilatini I speak Latin ninasema Kilatini.