india

n Uhindi ~ paper karatasi nyembamba sana. Indiaman n (formerly) meli (iliyosafiri baina ya Uhindi na Ulaya). India-rubber n kifutio. Indian n 1 Mhindi. 2 American ~n/West ~n Mhindi mwekundu adj 1 -a Kihindi. ~ n Ocean n Bahari ya Hindi. ~n club n rungu la mazoezi. ~n corn n mahindi. in ~ n file -moja baada ya ingine. ~n ink n wino mweusi agh hutengenezwa Uchina na Ujapani. ~n red adj -ekundu, udongo mwekundu. ~n summer n mwisho wa majira ya joto; (US) (fig) kurudiwa na mawazo ya ujana uzeeni.