dutch

adj -a Kiholanzi; -enye kutoka Uholanzi. D~ auction n mnada wa kushusha bei. D ~ courage n ujasiri wa kilevi. Dutch oven n jiko la bati la kuweka mbele ya moto. D~ treat n karamu ya kujilipia. go ~ (with somebody) gawana matumizi, changizana. talk like a ~uncle asa n pl 1 the D~ Waholanzi. 2 (lugha ya) Kiholanzi; (colloq) double ~ n Kichina; lugha isiyoeleweka.