r,r

n 1 herufi ya kumi na nane katika alfabeti ya Kiingereza. 2 the three R's (reading, (w)riting and (a)rithmetic K3 kusoma, kuandika na kuhesabu (kama msingi wa elimu).