c,c

n 1 herufi ya tatu katika alfabeti ya Kiingereza. 2 (mus) noti ya kwanza ya skeli ya kawaida. 3 mia (katika namba za Kirumi).